Details:
-
Alternative Title:Guidance for large or extended families living in the same household [Swahili]
-
Corporate Authors:
-
Description:Guidance for large or extended families living in the same household [Swahili]
Watu wazima waliokomaa na watu wa umri wowote ambao wana hali zingine za kimatibabu zinazowasumbua huenda wakawa katika hatari kubwa zaidi ya kuzidiwa vibaya na COVID-19). Iwapo kaya yako inajumuisha watu walio katika makundi haya, basi kila mmoja wa familia hiyo anapaswa kujiendesha kana kwamba, wao, wenyewe, wako katika hatari kubwa zaidi. Hilo laweza kuwa jambo ngumu iwapo nafasi ni ndogo kwa familia kubwa zinazoishi pamoja. Taarifa ifuatayo inaweza kuwasaidia kuwalinda wale walio katika hatari kubwa zaidi katika kaya yako.
cdc.gov/COVID19
CS 316538-J 04/30/2020
COVID19_Family-Guidance-sw_Swahili.pdf
-
Subjects:
-
Series:
-
Document Type:
-
Collection(s):
-
Main Document Checksum:
-
Download URL:
-
File Type: