ORS (Solution de Réhydratation Orale – Serum ya kukunywa) kwa alama ya Ebola [litres 1] [2018]
Multi-Language
Public Domain
-
2018/08/27
File Language:
Details
-
Alternative Title:ORS (Oral Rehydration Solution) for symptoms of Ebola [1 Liter version] [2018] [Swahili]
-
Corporate Authors:
-
Description:Toa ORS MARA MOJA ikiwa utaona mojawapo ya dalili hizi za Ebola: • Homa • Kutapika • Kuhara Jinsi ya kutoa ORS kwa usalama.
Changanya pakiti 1 ya ORS katika pinti 3 (lita 1) za maji salama ya kunywa. • Mimina mchanganyiko kwenye kikombe (au chupa). Jihadharini kuepuka kugusa kikombe cha mgonjwa, chupa, au vitu vingine. • Usishiriki ORS, kikombe, au chupa na wengine. • Wahimize watoto na watu wazima kunywa ORS mara kwa mara ikiwa wana kuhara au kutapika. • Hifadhi ORS isiyotumiwa kwenye chombo kilichofunikwa. • Tupa ORS isiyotumiwa kila siku. • Acha ORS wakati kuhara na kutapika kunakoma.
-
Subjects:
-
Keywords:
-
Series:
-
Publisher:
-
Document Type:
-
Genre:
-
Place as Subject:
-
Rights:Public Domain
-
CIO:
-
Division:
-
Topic:
-
Location:
-
Pages in Document:1 poster
-
Collection(s):
-
Main Document Checksum:urn:sha-512:eb77ade1f19340965ad55cc42393e98f42d44fe7afe796a7463cb148220a45c5a32a0678d37b0edb02811ae35f66a3a0cfa2bbb519274e8cd9ef9b8ebc380915
-
Download URL:
-
File Type:
Related Documents
File Language:
ON THIS PAGE
CDC STACKS serves as an archival repository of CDC-published products including
scientific findings,
journal articles, guidelines, recommendations, or other public health information authored or
co-authored by CDC or funded partners.
As a repository, CDC STACKS retains documents in their original published format to ensure public access to scientific information.
As a repository, CDC STACKS retains documents in their original published format to ensure public access to scientific information.
You May Also Like
COLLECTION
Infectious Diseases