i
i
Up-to-date Information
Up-to-Date Info: To find the latest CDC information on this topic go to: https://www.cdc.gov/coronavirus/2019-nCoV/index.html
Kutoa Msaada wa Kiroho na Kisaikososholojia kwa Watu walio na COVID-19 Nyumbani (Mazingira Yasiyo ya Kimarekani)
-
12/23/2021
Details:
-
Alternative Title:Providing spiritual and psychosocial support to people with COVID-19 at home (non-US settings) [Swahili]
-
Corporate Authors:
-
Description:Providing spiritual and psychosocial support to people with COVID-19 at home (non-US settings) [Swahili]
Watu wengi wanaougua au kupoteza jamaa wa familia wanahitaji kiongozi wao wa kiroho kutoa msaada wa kiroho. Wakati wa janga la COVID-19, njia salama zaidi za kutoa msaada wa kiroho na kisaikolojia ni kwa simu, video, au kupitia majukwaa ya gumzo ya kibinafsi ya mitandao ya kijamii. Viongozi wa kiroho wanaweza kuomba, kushiriki mambo ya kiungu na ya kimaandiko na kushiriki ujumbe wa matumaini.
CS317721-H 12/23/2021
317721-A_FS_SpiritualSupportGuidance_Update_12_6_SWAHILI.PDF
-
Subjects:
-
Document Type:
-
Genre:
-
Pages in Document:2 unnumbered pages
-
Collection(s):
-
Main Document Checksum:
-
Download URL:
-
File Type: